Waumini 16 wa St Mathias Mulumba waombewa baada ya ajali ya Salama
Description (show more)
Kanisa Katoliki la St Mathias Mulumba, eneo la Mikindani, kaunti ya Mombasa, limeandaa ibada maalum ya kuwaombea na kuwakumbuka waumini 16 wa kanisa hilo walioangamia katika ajali ya barabarani eneo la Salama, kaunti ya Makueni. Ibada hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Mombasa, walioungana na waumini kuwaomboleza waliopoteza maisha wakiwa safarini kuhudhuria ibada maalum katika Mlima Subukia. Francis Mtalaki ana taarifa zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 963.5K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 812 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
