Kenyans Live

Shahidi wa mwisho asikilizwa katika kesi ya Brian Odhiambo

Description (show more)

Vikao vya kusikiliza kesi inayohusu kupotea kwa mvuvi Brian Odhiambo vimeendelea leo katika Mahakama ya Nakuru, ambapo upande wa utetezi umewasilisha shahidi wake wa mwisho. Afisa Mkuu wa Uchunguzi wa Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini, KWS, ameieleza mahakama kuwa rekodi iliyoandikwa katika Kitabu cha Matukio ya Polisi, OB, iliandikwa inavyofaa, kufuatia maswali ya upande wa mashtaka. Maryanne Nyambura ana taarifa zaidi.

Share: