Wadau wa elimu wapongeza mpango wa kuunganisha shule kupitia masomo ya mtandaoni
Description (show more)
Wadau katika sekta ya elimu wanaendelea kupongeza wizara ya elimu kuanzisha mpango wa kufundisha shule kadhaa kwa wakati mmoja kupitia masomo mitandaoni. Katibu katika wizara ya mawasiliano Stephen Isaboke, Mwanasheria Mkuu Dorcas Oduor na wakuu serikalini kwa njia ya mitandaoni walihusika kwa njia ya pekee kwa uzinduzi wa masomo yaliyounganisha shule kadhaa kutoka ukanda wa Nyanza, na Magharibi mwa Kenya..
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:01
3:16Health CS Aden Duale appears before parliamentary committee over Ebola preparedness
· 2 views
1:22
1:32Japuonjre moro nowito ngimane apoya nyoro tok tieko penj mar Chemistry
· 2 views
2:20Kilifi residents raise alarm over SHA system failures in hospitals
· 7 views
1:55Gavana ma Machakos siro Kalonzo e ng’we laro kom tend piny 2027
· 1 views
3:10IG Douglas Kanja appears in court over missing Tanzanian activist Twaha Mwaipaya
· 54 views
1:55Winjruok oseketi mar chako gero apaya mar Lake Basin ring road
· 4 views
