Kenyans Live

Viongozi Kwale wataka wanawake na vijana kuwezeshwa kushika nyadhfa za uongozi

Description (show more)

Viongozi wa kidini, wazee wa Kaya na wanaharakati wa haki za kibinadamu katika kaunti ya Kwale wanapendekeza kuimarishwa kwa miradi ya kuwezesha wanawake na vijana, wakizitaka jamii kuwaunga mkono kushiriki katika nyadhfa za uongozi na kufanya maamuzi.

Share: