Bunge lapuuzilia mbali madai ya kubadilishwa kwa sheria ya upeperushaji wa matokeo
Description (show more)
Mzozo umeendelea leo kuhusu upeperushaji wa moja kwa moja wa matokeo ya uchaguzi, kufuatia ripoti kuwa Bunge lilifanyia marekebisho Mswada wa Uchaguzi wa mwaka 2024. Baadhi ya viongozi wa upinzani pamoja na Chama cha Wanasheria wamekosoa ripoti hiyo. Hata hivyo, kama Emmanuel Too anavyoripoti, Bunge la Kitaifa limepuuzilia mbali madai hayo, likisema kipengele hicho bado kipo katika sheria na kuwa matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao yatapeperushwa moja kwa moja kama ilivyo desturi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:54Gavana Nyong’o awamulika wanaomezea mate ardhi ya bustani ya Baby Pendo
· 1 views
1:24Sakaja: Raila told me to join ODM
· 1 views
21:06Sammy Melly Aangazia Kurunzi Kwa Taifa I Tamrini
2:54Oparanya says UDA, ODM will negotiate way forward before 2027 polls
· 2 views
1:14Macrine Kalombo, Kenyan, has won her 100-meter freestyle heat
· 1 views
55:15KTN NEWSDESK || 2ND NOVEMBER 2026
· 62 views
3:01Over 3,000 Youths Join Police in Mukuru Sports Drive to Promote Peace Ahead of 2027
· 14 views
1:15Shabana Target Second FKF League Win Against Kenya Police at Afraha Stadium
· 10 views
