Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti ataka serikali isuluhishe haraka mgomo wa wahadhiri
Description (show more)
Gavana wa Kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti ametoa wito kwa Serikali ya Taifa kusuluhisha kwa haraka mgomo wa wahadhiri wa vyuo vikuu. Akizungumza wakati wa ziara yake ya maendeleo katika eneo la Mbiuni, Kaunti ndogo ya Mwala, Gavana Wavinya alisema kuwa mgomo huo ni hasara kubwa kwa wanafunzi na taifa, akisema kuwa mgogoro wa elimu ya vyuo vikuu unaweza kuyumbisha sekta ya elimu nchini.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 963.5K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 812 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
