Kenyans Live

Rais William Ruto ashinikiza Afrika kupewa nafasi zaidi UNSC

Description (show more)

Rais William Ruto amesisitiza umuhimu wa Afrika kushirikishwa zaidi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC). Amesema mfumo wa sasa umetenga mataifa mengi na ametaka mageuzi katika mifumo ya Umoja wa Mataifa.

Share: