Kenyans Live

Wakazi wa Siaya wataka kushirikishwa kwenye ujenzi wa kiwanda cha nyuklia

Description (show more)

Jamii ya Lenya huko Bondo, Kaunti ya Siaya, inataka uwepo wa ushirikishwaji ufao wa umma pamoja na mashauriano ya kina  kuhusu mradi uliopendekezwa wa ujenzi wa kiwanda cha nyuklia katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: