Kenyans Live

Wakazi kaunti ya Busia wageukia ufugaji wa samaki kwenye vidimbwi ili kukuza kilimo-biashara

Description (show more)

Kutokana na changamoto ya upungufu wa samaki ziwani Victoria, ufugaji wa samaki katika vidimbwi shuleni na maboma ya watu Busia unazidi kukumbatiwa na wakazi. Kupitia kwa ufugaji huo, wanafunzi wanapata fursa ya kujifunza kilimo-biashara mbali na ujuzi wa usimamizi wa rasilimali kwa vitendo.

Share: