Kenyans Live

Watetezi wa haki Kilifi walalamikia kushindwa kwa mifumo ya haki kwa waathiriwa

Description (show more)

Watetezi wa haki za kijinsia pamoja na viongozi wa nyanjani Kaunti ya Kilifi wamelalamikia ukosefu wa ushirikiano mzuri kati yao na Idara ya polisi, wakisema hali hiyo inatatiza juhudi za kuripoti na kushughulikia visa vya dhuluma za kijinsia na mimba za utotoni mashinani.

Share: