Kenyans Live

Wakazi wa kaunti ya Nakuru wapata huduma za macho na masikio bila malipo

Description (show more)

wakazi wa eneo la Nakuru mashariki na Magharibi wamepata fursa ya kupata huduma za matibabu ya macho na masikio bila malipo, matatizo ambayo yameathiri wakazi wengi. wahisani wanalenga kutambua mapema magonjwa mbalimbali ya macho, kutoa ushauri wa kitaalamu na kuelekeza wagonjwa wanaohitaji matibabu zaidi.

Share: