Kenyans Live

Mbunge wa Runyenjes Muchangi Karemba atangaza kuachana na tiketi ya UDA kuwania ubunge 2027

Description (show more)

Mbunge wa Runyenjes Muchangi Karemba ametangaza kuwa hatagombea tena kiti chake kupitia tiketi ya chama cha UDA katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza katika eneo la Gikuuri , Karemba amesema anatafuta chama kingine cha kisiasa atakachotumia kuwania kiti hicho, akitarajia kutangaza uamuzi wake ndani ya miezi miwili baada ya kufanya mashauriano na washirika wake wa kisiasa pamoja na viongozi wa vyama.

Share: