Ruto atetea mpango wa kuagiza mafuta wa G-to-G
Description (show more)
Rais William Ruto ametetea mpango wa G-to-G wa kuagiza mafuta kati ya Serikali ya Kenya na serikali za Ghuba, akisema mpango huo ulisaidia pakubwa kudhibiti bei ya mafuta nchini. Rais Ruto, ambaye yuko nchini Marekani, amesema Serikali ya Kenya itaendelea na mpango huo, akisisitiza kuwa una manufaa makubwa kwa Kenya, kama anavyoripoti Kenn Muga.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:11:33
1:47NGERO NA MBAARA CIA ŨKINYANĨRIA WA KIRIU
· 1 views
1:28
2:04Raga | Rising Lionesses waandikisha historia baada ya kushinda medali ya dhahabu
· 1 views
3:41Ruto: Those who can provide internships for young people, we will net off 100% from your taxes
· 1 views
1:28Kenya na Uholanzi zimezindua mipango ya maendeleo
· 1 views
1:44Akenya kũrio mathingate mawatho ma barabara nĩgetha kũnyihanyihia mĩtino
· 3 views
2:04