Kenyans Live

Kenya U23 yaichapa Tanzania 4-1 katika mechi za kufuzu Afcon

Description (show more)

Timu ya Kenya ya chipukizi wa chini ya miaka 23 imeiadhibu Tanzania kwa mabao 4-1 kwenye mechi ya mkondo wa kwanza ya mechi za kufuzu Kombe la Bara Afrika. Kenya ilikuwa kifua mbele kwa mabao 2-0 katika kipindi cha kwanza kabla ya kuongeza mawili katika kipindi cha pili.

Share: