Kenyans Live

Wawekezaji wahimizwa kuzalisha bidhaa zenye ubora wa juu

Description (show more)

Naibu mkuu wa utumishi wa umma amos gathecha amehimiza wawekezaji katika sekta ya utengenezaji bidhaa kufanya hima kuongeza mapato akisema mchango wa sekta hiyo umeendelea kupungua kwa miaka miwili sasa hali inayozua wasiwasi.

Share: