Kenyans Live

Naibu gavana wa Kwale azindua rasmi shule za Kasemeni na Mustunga Mwereni, Lungalunga

Description (show more)

Naibu Gavana wa kaunti ya kwale Chirema Kombo amefungua Rasmi shule za msingi na sekondari za Kasemeni na Mustunga katika wadi ya Mwereni huko Lungalunga .

Share: