Kenyans Live

Kiambu: Wakulima wataja ukosefu wa mvua kama moja ya sababu kuu zinazochangia uhaba wa maziwa nchini

Description (show more)

Wakulima wa ng’ombe wa maziwa katika Kaunti ya Kiambu wameeleza kuwa gharama kubwa za vyakula vya mifugo, ukosefu wa mvua kwa muda mrefu, magonjwa ya mifugo pamoja na wizi wa mifugo ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia uhaba wa maziwa humu nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya