Kenyans Live

Bei ghali ya mafuta: Muungano wa wamiliki wa matatu walalamika Mombasa

Description (show more)

Muungano wa wamiliki wa matatu kaunti ya mombasa unailaumu serikali kwa kukosa kutimiza ahadi iliyotoa miezi kadhaa iliopita. Wanasema sasa hawana budi ila kuongeza nauli kuanzia wiki ijayo ili kukithi mahitaji ya uchukuzi barabarani

Share: