Kenyans Live

Baraza la Kutatua Migogoro ya Vyama lamruhusu Sifuna kusajili chama cha Linda Mwananchi

Description (show more)

Baraza la Kusimamia Migogoro ya Vyama vya Kisiasa hii leo limeamua kuwa Msajili wa Vyama vya Kisiasa nchini alikosea kwa kubatilisha ombi la kusajili Chama Linda Mwananchi, kinachohusishwa na Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya