Kenyans Live

Wanaharakati Nairobi waipa serikali saa 72 kupunguza bei ya mafuta

Description (show more)

Wanaharakati jijini nairobi wameipatia serikali makataa ya saa 72 ipunguze bei ya mafuta ya petroli ambayo imesababisha ongezeko la nauli . wakizungumza hapa jijini nairobi, wanaharakati hao wamesema iwapo serikali haitasikia kilio chao, basi hawatakuwa na budi ila kuitisha maandamano ya kitaifa dhidi ya bei ya juu ya mafuta na bidhaa za petroli .

Share: