Viongozi wa Upinzani waitaka IEBC kuweka wazi orodha ya wapiga kura wapya
Description (show more)
Viongozi wa upinzani wanaitaka tume ya uchaguzi nchini iebc kuweka wazi orodha ya wapiga kura wapya nchini kabla ya zoezi jingine la usajili wa wapiga kura. Wakiongozwa na kinara wa dap-k eugene wamalwa na katibu mkuu wa dcp john methu waliposhiriki ibada ya jumapili kaunti ya kiambu, wanasiasa hawa wanasema wito wao unafuatia madai kuwa iebc imekuwa ikiwasajili raia wa kigeni kushiriki uchaguzi mkuu ujao.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
33:36LIVE: Kurunzi Mashinani II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 466 views
3:40:33Citizen TV Live:
· 29.6K views
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.4K views
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.8K views
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
· 1.3K views
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
· 4.9K views
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
