Linda Mwananchi wautaka upinzani kuungana nyuma ya mgombea mmoja wa urais
Description (show more)
Viongozi wa Linda Mwananchi wamewataka wenzao katika upinzani kusitisha malumbano na kuweka vichwa pamoja ili kumteua mgombea mmoja atakayepeperusha bendera ya urais katika uchaguzi mkuu ujao. Wakizungumza katika Kaunti ya Kwale, viongozi hao wameendelea kumkosoa Rais William Ruto, wakidai anakiuka Katiba. Pia wameishinikiza serikali kuweka wazi mikataba ya madini Kwale na miradi mingine nchini.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:51Atongoria a ODM kuuha Kalonzo
· 24 views
2:20Kalonzo Musyoka kũnyũrũria athiriti a Ruto
· 58 views
50:41HEALTH & WELLNESS || IS MY CHILD DEVELOPING NORMALLY? Speech Therapy & Early Childhood Development
· 7 views
29:19| Land & Property Diary | 1ST NOV 2026 |
· 56 views
30:10Menya kũharĩria irio cia kĩũndũire #IrioToGĩtheri
· 54 views
27:34LIVE | WAN WAN WAN 1/11/2026
· 15 views

LIVE:Darubini Wikendi naye Kamche Menza II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 519 views
25:51INTERNATIONAL ROUNDUP || RAILA ODINGA STADIUM: The New Kid Set to Host Bayern & Ajax
· 297 views
