Familia za waathiriwa wa Shakahola zinalamikia serikali kwa kuchelewesha mazishi
Description (show more)
Familia za wafu wa Shakahola zinailaumu serikali kwa kimya cha muda mrefu na kukosa kuwahusisha katika ilani ya siku 21 kabla ya kuzika maiti zaidi ya 400 za waathiriwa wa Shakahola. Roseline Asena, aliyewapoteza jamaa zake watano, amewasilisha malalamishi katika Bunge la Seneti akitaka familia kuhusishwa na kupewa mwelekeo, kama Francis Mtalaki anavyotuarifu.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:32
1:32Gĩkundi gĩa Sauti Yangu gũtetia wongerereku wa ũnyamarania wa atumia na arume Nanyuki
· 4 views
2:04CS Ogamba: KCSE examination security system makes photographing papers impossible
· 13 views
10:57Kamati za Bunge zajadili utekelezaji wa mkataba wa wafanyakazi wa vyuo vikuu 2025–2029
· 28 views
1:29KTDA KŨGĨA NA MŨIKARĨRI GĨTĨ MWERŨ
· 5 views
2:11Bwawa kubwa kujengwa kupanua mradi wa umwagiliaji wa Galana-Kulalu
· 12 views
3:49Silvester Orego: Omenda mag 'empowerment' ing'ado e bengi; chalo rao ma ing'ado gi lee
· 2 views
2:18Waziri wa madini Hassan Joho aonya dhidi ya siasa za chuki na uchochezi kuelekea uchaguzi wa 2027
· 32 views
