Kenyans Live

Nduguye Raila amtaka Uhuru kuacha kuzungumzia ushindi wa Raila wa 2022

Description (show more)

Nduguye aliyekuwa kinara wa ODM hayati Raila Odinga, Omondi Oginga, sasa amemtaka rais mstaafu Uhuru Kenyatta kukoma kuzungumzia matokeo ya urais ya Odinga ya mwaka wa 2022 akisema madai hayo yanatonesha kidonda mwaka mmoja baada ya kifo cha Odinga. Haya yamejiri huku kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka akiibuka na madai mapya kwamba Odinga hakupokonywa ushindi wa mwaka wa 2022 pekee, aliibiwa ushindi pia katika chaguzi nyingine, kama Emmanuel Too anavyotuarifu.

Share: