Kenyans Live

Mtu mmoja afariki baada ya kusombwa na mafuriko Kajiado

Description (show more)

Mtu mmoja amefariki baada ya kusombwa na maji ya mafuriko alipokuwa akielekea nyumbani katika Kaunti ya Kajiado. Haya yanajiri huku Idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa ikisema mvua zinazoshuhudiwa kote nchini ni za msimu wa vuli na zinahusishwa pia na tukio la El Niño.

Share: