Kenyans Live

Jamii ya Warabai kaunti ya Kilifi yasherehekea mwaka mpya kwa shangwe na nderemo

Description (show more)

Kulikuwa na shangwe na nderemo katika uwanja wa kihistoria wa Dr Krapf katika Kaunti ya Kilifi huku jamii ya warabai ikisherehekea utamaduni wao wa kuukaribisha mwaka mpya.

Share: