Kenyans Live

Rais william ruto apigia debe mpango wa serikali wa kujenga kiwanda cha kusafishia mafuta Lamu

Description (show more)

Rais william ruto ameendelea kupigia debe mpango wa serikali wa kujenga kiwanda cha kusafishia mafuta cha lamu, akisema kiwanda hicho kitapunguza gharama ya kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi na pia kutoa nafasi za ajira kwa watu zaidi ya 60,000. Rais alizungumza kule lunga lunga kaunti ya kwale, anakotoa hatimiliki 26,000 wa wakazi wa eneo hilo.

Share: