Tuzo za mabingwa wa usalama barabarani zaandaliwa
Description (show more)
Baadhi ya viongozi wa sekta ya uchukuzi wa umma wametoa wito kwa serikali kupitia halmashauri ya udhibiti wa sekta ya kawi na mafuta, EPRA kutafakari kuandaa mashauriano na wahudumu hao ili kutafuta suluhu ya kudumu kuhusiana na ongezeko la mara kwa mara la bei za mafuta humu nchini. Haya yanajiri huku wadau wa usalama barabarani wakitetea juhudi za pamoja za kukabiliana na ajali za barabarani huku msimu wa sikukuu ukikaribia wakisema kuwa usalama ni wajibu wa pamoja. Walikariri hayo wakati wa hafla ya kutoa tuzo za mabingwa wa usalama barabarani jijini Nairobi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
23:56🔴LIVE || TV47 News @ 1 P.M With Martin Githinji
34:38LIVE:Lunchtime News with Giverson Maina II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
1:24:28LIVE: Sunday Service from All Saints Cathedral II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
2:17