Serikali yahimizwa kufadhili mafunzo kwa wataalamu
Description (show more)
Sekta ya wafanyakazi inahimiza ongezeko la ufadhili ili kufanikisha mafunzo ya kikazi na uidhinishaji wa wataalamu wa sekta hiyo. Wakiongozwa na afisa mkuu mtendaji wa bodi ya mitihani ya kitaaluma ya maafisa wa idara za wafanyakazi Margaret Nguu, maafisa hao wanasema hata ingawa sekta hiyo hupokea ufadhili wa serikali, ipo haja ya kutengewa fedha zaidi ili taasisi zinazotoa mafunzo hayo ziweze kuwasajili wataalamu zaidi na kuhakikisha Wakenya zaidi wanapata ujuzi hitajika. Haya yaliibuliwa wakati bodi hiyo ilipotangaza matokeo ya mtihani wa kitaifa wa mafunzo ya wataalamu wa idara za wafanyakazi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:35Sifuna azuiwa na uongozi wa chuo cha JKUAT Karen kuhudhuria mkutano katika chuo hicho
1:55Rais Ruto aendeleza mashambulizi yake dhidi ya Uhuru Kenyatta
3:15Rais William Ruto ataja upinzani kama kundi la watu wasio na mwelekeo, dira wala ajenda
2:56Watu 9 Wafariki Katika Ajali Mbili za Barabarani Machakos na Kisii
3:26Familia 300 Zarudi Mau Baada ya Kukosa Fidia ya Sh2.6B
2:20
2:23Watu watano waliuwawa Gotu , kaunti ya Isiolo jana Jumatano.
1:26