Ajali nyingine eneo la Salama yasababisha msongamano mkubwa wa magari
Description (show more)
Msongamano mkubwa wa magari umeshuhudiwa usiku wa kuamkia leo kutokana na ajali iliyohusisha trela na gari dogo karibu na mji wa Salama ambapo watu wawili walipata majeraha siku mbili tu baada ya ajali iliyowauawa watu kumi na saba kilomita mbili kutoka kwenye eneo la ajali. Aidha serikali imeendelea kushinikizwa kupanua barabara hiyo na hususan katika eneo hilo la salama ambapo kumekuwa kukishuhudiwa ajali kila wakati.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 963.5K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 812 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
