Kenyans Live

Mshukiwa wa uwindwaji haramu akamatwa kaunti ya Garissa

Description (show more)

Maafisa wa kulinda wanyama pori kutoka shirika la KWS wamefanikiwa kumkamata mshukiwa mmoja wa uwindaji haramu katika eneo la Dhaley viungani mwa mji wa Garissa akiwa na kipande cha nyama inayoaminika kuwa ya twiga.

Share: