Kenyans Live

Viongozi wa Kenya Kwanza waendelea kumpigia debe Rais Ruto

Description (show more)

Viongozi wa Kenya Kwanza wamekuwa mbioni kumpigia upatu rais William Ruto, huku wakiwashtumu wakosoaji wake. Huku spika wa mbunge la kitaifa Moses Wetangula akiongoza wajumbe katika eneo la Teso Kusini kaunti ya Busia , mwenzake wa seneti Amason Kingi, ameongoza viongozi wa pwani katika kunadi ajenda ya serikali katika kaunti ya Tana River. Hayo yakijiri baadhi ya viongozi wa chama cha  Jubilee kutoka Nakuru, Nyandarua, Embu, Nyeri na Murang'a wamemshtumu naibu kiongozi wa chama hicho  Jeremiah Kioni na aliyekuwa mbunge wa Nyeri Ngunjiri Wambugu kwa kusababisha migawanyiko katika chama hicho.  Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: