Kenyans Live

Kiraitu Murungi awarai Wakenya kutafakari upya maana ya demokrasia

Description (show more)

Aliyekuwa Gavana wa Meru, Kiraitu Murungi, amewarai Wakenya kutafakari upya maana ya demokrasia, akidai kuwa misingi ya kidemokrasia ya nchi hii imekuwa ikidorora na nafasi yake kutwaliwa na siasa za hongo . Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kitabu chake kipya, Illusions of Democracy Kiraitu alionya kuwa mapambano yaliyozalisha mfumo wa vyama vingi na Katiba ya 2010 yako katika hatari ya kuhujumiwa na utamaduni wa kisiasa uliojikita kwenye misingi ya kibiashara na fedha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: