Wakenya wawili miongoni mwa watano washtakiwa kwa ulaghai wa ufadhili wa masomo Marekani
Description (show more)
Wakenya wawili ni miongoni mwa watu watano walioshtakiwa kwa wizi wa utambulisho katika sakata ya ulaghai wa ufadhili wa masomo nchini Marekani. Wakenya hao wanahusishwa na genge la matapeli linalodaiwa kusajili wanafunzi hewa katika vyuo vikuu vya Marekani na kuilaghai serikali ya nchi hiyo mabilioni ya shilingi kupitia ufadhili wa masomo. Sakata hiyo inakadiriwa kuigharimu serikali ya Marekani takriban shilingi bilioni 16.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:03Broad-based leaders defend “Usawa ni Sawa” message
4:53Jakom ODM Gladys Wanga osiro ajenda mar 'Usawa ni Sawa' | #RamogiTV
4:40KTN EXCLUSIVE: Inside the 390-Page Bomas Contract as Project Cost Hits KSh41.9 Billion
· 34 views
4:19Kalonzo rejects joining the Kenya Kwanza administration
· 4 views
4:11Rescue operation at collapsed Eastleigh building enters its tenth day
· 16 views
24:52Earthwise | Exploring Kenya's new livestock microchip tag and real-time national database
· 104 views
2:34University ya Embu gwĩkĩrĩra gũkũria kĩgĩna gĩa gũteithia arutwo arĩa matehotete
· 16 views
31:02CITIZEN NIPASHE WIKENDI ~ 1ST NOV , 2026
· 16.5K views
