Uchunguzi wathibitisha wanaume wawili waliuawa kwa risasi Embu
Description (show more)
Uchunguzi wathibitisha wanaume wawili waliuawa kwa risasi Embu Uchunguzi wa maiti za wanaume wawili waliouawa wakati wa vurugu zilizotokea kwenye mkutano wa Naibu Rais huko Embu umethibitisha kuwa walifariki kutokana na majeraha ya risasi. Kwa mujibu wa ripoti ya uchunguzi wa maiti, mmoja wa vijana hao alipigwa risasi kichwani huku mwingine akifariki baada ya kupigwa risasi mguuni. Familia za marehemu hao sasa zinataka uchunguzi wa kina kufanywa na maafisa wa polisi wanaodaiwa kuhusika kukamatwa.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:35Sifuna azuiwa na uongozi wa chuo cha JKUAT Karen kuhudhuria mkutano katika chuo hicho
· 1 views
1:55Rais Ruto aendeleza mashambulizi yake dhidi ya Uhuru Kenyatta
· 2 views
3:15Rais William Ruto ataja upinzani kama kundi la watu wasio na mwelekeo, dira wala ajenda
· 10 views
2:56Watu 9 Wafariki Katika Ajali Mbili za Barabarani Machakos na Kisii
· 18 views
3:26Familia 300 Zarudi Mau Baada ya Kukosa Fidia ya Sh2.6B
· 12 views
2:20
2:23Watu watano waliuwawa Gotu , kaunti ya Isiolo jana Jumatano.
· 5 views
1:26Sifuna speaks after initially being denied access to a meeting at JKUAT’s Karen Campus
· 25 views
