Kenyans Live

Shule Isiolo zapokea vifaa vya elimu ya kidijitali

Description (show more)

Shule 46 katika kaunti ya Isiolo zimepookea vifaa vya elimu ya kidijitali kupitia mradi wa uharakishaji uchumi wa kidijitali unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Naibu mkurugenzi wa mawasiliano katika halmashauri ya teknolojia ya mawasiliano, Galgalo Fayo, alisema haya wakati wa usambazaji vifaa va kidijitali kwa shule ya msingi ya Wabera. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: