Kenyans Live

Familia ya Dennis Oremo Osiemo yaomba idara ya IPOA kuchunguza kifo chake korokoroni

Description (show more)

Familia yake Dennis Oremo Osiemo kijana mwenye umri wa miaka 24 aliyedaiwa kujitia kitanzi akiwa korokoroni katika kituo cha polisi cha Narumoru, sasa imeomba IPOA kuchunguza kwa kina kilichosababisha kifo cha mpendwa wao.

Share: