Kenyans Live

Wanawake na vijana zaidi ya 20,000 Kwale wanufaika na mradi wa mazingira na riziki

Description (show more)

Wanawake na vijana zaidi ya 20,000 katika maeneo ya Msambweni na Lungalunga kaunti ya Kwale, wamenufaika na mradi endelevu wa utunzaji mazingira na bahari (COSME) uliotoa mafunzo na pembejeo za ukulima wa mwani, ufugaji nyuki na upandaji miti miongoni mwa shughuli zingine za kupata riziki.

Share: