Kaunti ya Murang’a yatofautiana na wizara ya afya kuhusu mfumo wa Afya.KE
Description (show more)
Kaunti ya Murang’a na wizara ya afya zimetofautiana kuhusu madai ya kufungwa kwa mfumo wa kidijitali wa huduma za afya wa serikali ya kaunti hiyo. Gavana Irungu Kang’ata alidai serikali ya kitaifa inatatiza huduma za afya kwa kufunga mfumo wa Afya.KE. Hata hivyo, waziri wa afya Aden Duale alipuuzilia mbali madai hayo akisema wizara yake haimiliki, kusimamia wala kuwa na mamlaka ya kudhibiti mfumo huo alioutaja kuwa mpango wa kibinafsi kati ya serikali ya kaunti ya Murang’a na mtayarishaji wake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:56
LIVE: Sakaja Joins ODM
2:21Catherine Omanyo Amtaka Kalonzo Kuondoka Upinzani na Kujiunga na Serikali
2:11Seneta Miraj Abdillahi Apinga Pendekezo la UDA na ODM Kugawana Madaraka 50:50
2:35Sakaja ditches UDA, joins ODM in a bid to retain his seat
2:20KCSE 2026: Usalama Waongezwa Turkana na Pokot Magharibi, Watahiniwa 7,000 Washiriki
1:55KCSE 2026: Watahiniwa 14,394 Waanza Mitihani Katika Kaunti ya Kajiado
20:03