Eldoret yakamilisha maandalizi ya sherehe za Mashujaa Dei
Description (show more)
Maandalizi ya maadhimisho ya 63 ya Mashujaa Dei yamekamilika katika uwanja wa michezo wa Kipchoge Keino jijini Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu. Jiji la Eldoret limeshuhudia msongamano mkubwa wa watu, huku mikahawa na vyumba vya malazi vikijaa kabla ya sherehe hizo zinazotarajiwa kufanyika kesho. Maadhimisho hayo yanatarajiwa kuvutia viongozi na wananchi kutoka maeneo mbalimbali nchini, huku Eldoret ikiwa mwenyeji wa sherehe hizo za kitaifa. Bonface Barasa ana taarifa zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:40:33Citizen TV Live:
· 26.6K views
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.3K views
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.8K views
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
· 1.3K views
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
· 4.9K views
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 435 views
1:33Langata residents to benefit from free medical camp organised by KMPDU SG Davji Atellah
· 84 views
