Kenyans Live

Serikali yaimarisha hatua za kuzuia Ebola katika mpaka wa Isibania

Description (show more)

Serikali imeimarisha hatua za kuzuia na kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa Ebola katika mpaka wa Isibania unaounganisha Kenya na Tanzania.

Share: