Kenyans Live

Watu wawili wakamatwa Machakos na pembe ya tembo ya kilo 12

Description (show more)

Watu wawili wamekamatwa huko Machakos wakiwa na pembe ya tembo yenye uzito wa kilo 12 yenye thamani ya shilingi milioni 1.2.

Share: