Kenyans Live

Mhisani awasaidia kina mama waliokuwa wamezuiliwa hospitalini kwa zaidi ya wiki tatu

Description (show more)

mhisani mmoja amewasaidia kina mama ambao walikuwa wamezuliwa kwa zaidi ya wiki tatu kwa kulemewa na malipo katika hospitali ya umma ya Kirwara level 4 iliyoko eneo Bunge la Gatanga, Kaunti ya Murang'a .

Share: