Kenyans Live

Wazee Gaturi Kaunti ya Murang'a waeleza changamoto katika usajili wa mpango wa Inua Jamii

Description (show more)

Wazee wa Kata ya Gaturi, eneo bunge la Kiharu, Kaunti ya Murang’a, wameelezea kero kubwa na mateso wanayopitia katika zoezi la usajili wa mpango wa Serikali wa Inua Jamii.

Share: