Kenyans Live

Wakulima na wadau wa sukari wapinga marekebisho ya sheria ya mazao ya 2026

Description (show more)

Wakulima wa miwa, wamiliki wa viwanda vya sukari pamoja na wadau wengine katika sekta hiyo kutoka kaunti za Nandi, Kisumu na Kericho wamepinga mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya mazao, ya mwaka wa 2026.

Share: