Kenyans Live

Kaunti ya Homa Bay yaimarisha juhudi za kupambana na saratani ya matiti na kusaidia walioathirika

Description (show more)

Ugonjwa wa saratani ya matiti bado umesalia kuwa donda sugu kwa akina mama wengi katika kaunti ya Homa bay. washikadau mbalimbali wa Afya kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Homa bay sasa wameanza hamasisho kuhakikisha walioathirika wamepata usaidizi.

Share: