Uhuru awataka Wakenya kubadilisha uongozi 2027
Description (show more)
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amewaonya Wakenya dhidi ya kurejelea makosa katika uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza kwa kutumia vijembe na ucheshi, Kenyatta amewataka Wakenya kumuondoa Rais William Ruto madarakani, akisema taifa lingekuwa limepiga hatua zaidi iwapo wangemsikiliza. Aidha, amewataka viongozi wa upinzani kumteua mmoja wao kuwania urais dhidi ya Rais Ruto, akisema hatua hiyo inaweza kusaidia kufanikisha azma hiyo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 964K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 813 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 505 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 455 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
