NTSA yajiondoa lawamani kuhusu ajali za barabarani
Description (show more)
Halmashauri ya Kitaifa ya Usalama Barabarani, NTSA, sasa inasema haifai kulaumiwa pekee kuhusu visa vya ajali vinavyoshuhudiwa nchini. NTSA inasema usalama barabarani ni jukumu linalohusisha idara mbalimbali za serikali, pamoja na madereva na watumiaji wengine wa barabara. Kauli hiyo inajiri huku visa vya ajali vikiendelea kuripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini, na kuzua mjadala kuhusu hatua zinazohitajika kupunguza vifo na majeraha barabarani. Mwanahabari wetu, Gatete Njoroge, alizungumza na Mkurugenzi wa Usalama Barabarani wa NTSA, Daktari Andrew Kiplagat, kutafuta maelezo kuhusu hali inayoshuhudiwa barabarani.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 811 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 504 views
1:01:45LIVE: Lunchtime News with Ben Troy Njue II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.1K views
30:11🔴LIVE || TV47 News @1pm with Wakio Mzenge
· 1.1K views
20:42LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 454 views
1:01:11LIVE: Prime Edition with Muchuma Odim II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.9K views
51:44🔴LIVE || TV47 PRIME @ 9PM || TV47KENYA
· 4.6K views
11:55:00LIVE | #RAMOGITVLIVE
· 24.8K views
