Kenyans Live

WEEGO yawakaribisha wasanii wa rhumba kwa sherehe za miaka 50 ya Fred Machoka

Description (show more)

Kampuni ya usafiri wa umma ya WEEGO imewakaribisha nchini wasanii maarufu wa rhumba waliofika kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya utangazaji ya mtangazaji nguli Fred Obachi Machoka. Sherehe hiyo ya kukata na shoka itafanyika katika Uwanja wa Ulinzi Sports Complex tarehe 10 Oktoba. WEEGO itatoa huduma za usafiri kwa wasanii na wageni watakaohudhuria sherehe hiyo.

Share: