Kenyans Live

Rais William Ruto asema viongozi wa upinzani wamepeleka kesi kuzuia mradi wa kiwanda cha Lamu

Description (show more)

Rais William Ruto sasa anasema baadhi ya viongozi wa upinzani ndiyo wamepeleka kesi mahakamani kuzuia kuendelea kwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha lamu, akisema hataruhusu viongozi hao kuhujumu uchumi wa taifa.

Share: